Wednesday, 28 June 2017

 Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Wilbroad Mutafungwa, akionyesha ngozi ya chui ambayo ni miongoni mwa nyara za serikali, walizozikamata toka kwa waganga wa jadi kwenye operesheni inayoendelea ya kuwatia mbaroni waganga wa jadi na wapiga ramli chonganishi mkoni humo ambao Polisi inadai, baadhi yao wamekuwa wakichochea mauaji kutokana na shughuli zao.
Tunguri za waganga hao wa jadi


Reactions:

0 comments:

Post a Comment