Tuesday, 20 June 2017


wanafunzi wa shule ya kimataifa, Feza ya jijini Dar es Salaam, Abdulrazak Juma, (kushoto), Rashid Jakaya Kikwete (katikati) na Abdallah Rubeya wakiwa na furaha  baada ya kushinda medani za dhahabu kwenye mashindano ya Genus Olympian nchini Marekani juzi. Zaidi ya nchi 63 Dunian kote zilishiriki mashindano hayo.
 

Reactions:

0 comments:

Post a Comment