Monday, 12 June 2017


Mkulima wa Pamba Mkoani Shinyanga akipima Pamba yake katika mzani uliohakikiwa.

 Wakulima wakiwa wamepanga mafurushi ya pamba wakisubiri ipimwe

Elimu ya Mizani sio zoezi lakukoma bali ni Muendelezo kama Wakala wa Vipimo anavyo onekana kutoa Elimu katika Mikoa ya Shinyanga, Simiyu, Tabora na Mwanza kuhusu vipimo.Afisa wa wakala wa Vipimo, Bibi Rehema Michael akipima usahihi wa robota la Pamba kwakutumia mizani iliyohakikiwa na wakala wa Vipimo  mkoani Simiyu mara baada yakufunguliwa kwa Msimu (Picha zote na Wakala wa Vipimo)

Reactions:

0 comments:

Post a Comment