Monday, 19 June 2017

Mkurugenzi Mkuu wa 
Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
nchini (SSRA) Bi. Irine Isaka(wapili kushoto), akimuhudumia mwananchi huyu kulia, eneo la mapokezi aliyefika kwenye ofisi za Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam leo Juni 19, 2017 ambapo maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma inayoendelea kote nchini.
Wafanyaakzi wa SSRA (Kushoto), wakiwa na nyuso za bashasha wakati wakihudumia wateja makao makuu ya Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam leo Juni 19, 2017 ambapo taifa linaadhimisha siku wiki ya Utumishi wa umma kote nchini


Reactions:

0 comments:

Post a Comment