Thursday, 15 June 2017


RIZ1
Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwan Kikwete(wapili kushoto), akabidhi Msaada wa vitanda vya kujifungulia (5), vitanda vya wodini (20), Magodoro 20 na mashuka 50 kwa Halmashauri ya Chalinze ambavyo vitagawiwa katika vituo vya Afya 5 vilivyo katika Tarafa 5  za Halmashauri ya Chalinze .
Vifaa hivi ni sehemu ya Utekelezaji wa Ahadi za Mheshimiwa Rais wetu Dk. John Pombe Magufuli  katika kutekeleza  Ilani ya CCM   -2015  kwa Wananchi wa Halmashauri ya Chalinze. Hapa  kazi  Tu
RIZ2 RIZ3 RIZ4
Reactions:

0 comments:

Post a Comment