Wednesday, 7 June 2017


unnamed
Mbunge wa Kasulu Mjini Mhe.Daniel Nsanzugwako (kulia), akiteta jambo na Mbunge wa Madaba Mhe.Joseph Mhagama katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma June 7, 2017 (Picha zote na Daudi Manongi, MAELEZO)
unnamed
Mwenyekitiwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Najma Giga akiongoza kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 07, 2017.
MABULA
Naibu Waziri Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angeline Mabula akijibu maswali mbalimbali ya wabung ekatika kikao cha 41 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 5, 2017.
KISH
Naibu Waziri Wizara ya Fedha na Mipango Mhe.Dk Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
KALEMANI
Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini Dkt, Medard Kalemani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
MBALA
Waziri waUjenzi,UchukuzinaMawasilianoMhe.ProfMakameMbarawaakijibumaswalimbalimbaliyawabungekatikakikao cha 43 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 7, 2017.
NCHE
Waziri wa Mambo yaNdaniMhe.MwiguluNchembaakizungumzajambonaNaibu Waziri waNchiOfisiya Waziri MkuuKazi,VijananaAjiraMhe.AnthonyMavundekatikakikao cha 43 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 7, 2017.
FAU
MbungewaKigamboni(CCM)Mhe,FaustineNdugulileakiulizaswalikatikakikao cha 43 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 7, 2017.
MPANGO
 Waziri waFedhanaMipango Mhe.Dk Philip MpangoakizungumzajambonaWaziri waMajinaUmwagiliajiMhe.GersonLwengekatikakikao cha 43 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 7, 2017.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment