Tuesday, 13 June 2017unnamed
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganowa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 13, 2017
1
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angeline Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
2
NaibuWaziri waAfya ,Maendeleo yaJ amii ,Jinsia ,Wazee na Watoto Mhe.Dk Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 13, 2017
3
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani akifuatilia jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dk Suzan Kolimba hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
4
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Ajira na Vijana Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
6
Waziri waNchiOfisiya Waziri MkuuSera ,Bunge,Kazi,Vijana,AjiranaWatuwenyeUlemavuMhe.JenistaMhagamaakizungumzajambonaMbungewaMtamaMhe.NapeNnauyekatikakikao cha 46 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 13, 2017.  7
Mbungewa Vitimaalum (CCM) Mhe.FatmaToufiqakiulizaswalikatikakikao cha 46 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 13, 2017
8
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura akiwa katika picha ya pamoja na wanakwaya wa Furahini K.K.K.T kutoka Ilongero-Mijuhu, mkoani Singidakwenye viwanja vya  Bungeni mjini Dodoma.
10 unnamed
Mbungewa Viti maalum (CCM) Mhe.RittaKabatiakiulizaswalikatikakikao cha 46 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 13, 2017.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment