Monday, 12 June 2017


Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo mjini Dodoma Juni 12, 2017.


Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.AnthonyMavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo mjini Dodoma Juni 12, 2017.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia,  Profesa Joyce Ndalichako, akijibu baadhi ya hija zilizojitokeza kwenye wizara yake

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (TAMISEMI) Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo mjini Dodoma Juni 12, 2017.


Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leo mjini Dodoma Juni 12, 2017.


Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo mjini Dodoma Juni 12, 2017.Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.Eng Stella Manyanya akijibu maswali mbalimbali ya  wabunge kikao cha 45 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leo mjini Dodoma Juni 12, 2017.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment