Tuesday, 6 June 2017


maka vs mwf
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.January Makamba katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
(Picha zote na Daudi Manongi, MAELEZO).

unnamed
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao cha 42 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 06, 2017.
mavunde
Naibu Waziri Ofisiya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
mhagama
Waziri waNchiOfisiYa Waziri MkuuSera,Bunge,Kazi,AjiranaWatuwenyeulemavuMhe.JenistaMhagama akitoleaufafanuzihojambalimbalizawabungekatikakikao cha 42 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 6, 2017.
nchemb
 Waziri waMambo yaNdaniMhe.MwiguluNchembaakijibuhojambalimbalizawabungekatikakikao cha 42 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 6, 2017.
kigwa
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
ngoy
Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe . Edwin Ngonyani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
mwaki
Waziri wa Habari,Utamaduni ,Sanaa na MichezoMhe.HarrisonMwakyembeakijibumaswalimbalimbaliyawabungekatikakikao cha 42 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 6, 2017.
mwaij
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
jafu
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
a
Mbunge wa Temeke (CUF) Mhe.Abdallah Mtolea akizungumza katika kikao cha 42 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma June 6, 2017.
PIX 14 MHE NGONYANI JAQUILINE
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Jaquiline Ngonyani akiuliza swali katika kikao cha 42 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leo  Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
wana
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Southern Highland kutoka Iringa wakiwa Bungeni kujifunza Shughuli mbalimbali za bunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
PIX 15 KANDEGE
Mbunge wa Kalambo (CCM) Mhe.Josephat Kandege akiuliza swali katika kikao cha 42 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
PIX 16 TWEVE
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Rose Tweve akiuliza swali katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment