Saturday, 10 June 2017

Aunt Rehema (wanne kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na akina dada wa DMV walioandaa dua ya kumwombea Aunt Rehema huko nchini Marekani. Dua hiyo iliratibiwa na  TAMCO
Aunt Rehema (kati) akiwa katika picha ya pamoja na Bw. na Bi.  Gao Jumamosi June 10, 2017 huko Silver Spring, Maryland nchini Marekani ambako akina dada wa Kitanzania waishio DMV wakitaribiwa na TAMCO walifanya dua ya kumuombea Aunt Rehema.

Aunty Rehema akijipakulia futari  siku ya Jumamosi June 10, 2017 Silver Spring, Maryland nchini Marekani siku akina dada DMV wakitaribiwa na TAMCO walipomanyia dua la kumwombea.

 Ustadh Gadafi (kushoto), pamoja na Miki wakiongoza dua ya kumwombea Aunt Rehema.

Waliohudhuria dua hiyo

Reactions:

0 comments:

Post a Comment