Friday, 16 June 2017


Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah akiongoza kikao cha Menejimenti ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika leo Juni16, 2017 Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.Wajumbe wa kikao cha Menejimenti ya Utumishi wa Bunge wakimsikiliza Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika leo Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment