Sunday, 25 June 2017


Inspekta Jenerali wa polisi (IGP) Simon Sirro akiwaonyesha askari wa mkoa wa kilimanjaro kofia yenye krauni ya jeshi la polisi alipokua kwenye ziara ya kikazi leo Juni 25, 2017 mkoani humo. IGP Sirro amewataka maofisa na askari hao kuheshimu krauni kwa kuwa ni mamlaka waliyopewa na serikali katika kuwahudumia wananchi kulinda maisha na mali zao


Reactions:

0 comments:

Post a Comment