Saturday, 24 June 2017


Mkuu wa jeshi la polisi nchini (IGP) Simon Sirro akimvisha cheo cha mkaguzi msaidizi Khadija Masoud Ali leo Juni 24, 2017 wakati wa sherehe za kumaliza mafunzo kozi ya kwanza ya maafisa uhamiaji katika chuo cha polisi Moshi CCP. Kozi hiyo imehusisha warakibu wasaidizi, wakaguzi wasaidizi, sajini meja, sajenti na koplo.


Mkuu wa jeshi la polisi nchini (IGP), Simon Sirro (kulia) akiteta na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala, baada ya kukagua gwaride kwenye sherehe za kumaliza kozi ya kwanza ya maafisa wa uhamiaji. kozi hiyo imehusisha warakibu wasaidizi, wakaguzi wasaidizi, sajini meja, sajenti na koplo.


Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro akitoa hotuba kwa maafisa wa uhamiaji baada ya kukagua gwaride kwenye sherehe za kumaliza kozi ya kwanza ya maafisa wa uhamiaji sherehe hizo zimefanyika leo katika chuo cha polisi moshi ccp. kozi hiyo imehusisha warakibu wasaidizi, wakaguzi wasaidizi, sajini meja, sajenti na koplo.


Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro akitoa hotuba kwa maafisa wa uhamiaji baada ya kukagua gwaride kwenye sherehe za kumaliza kozi ya kwanza ya maafisa wa uhamiaji sherehe hizo zimefanyika leo katika chuo cha polisi moshi ccp. kozi hiyo imehusisha warakibu wasaidizi, wakaguzi wasaidizi, sajini meja, sajenti na koplo.Mkuu wa Jeshi la Polisi nchi IGP Simon Sirro akikagua gwaride la maofisa wa uhamiaji wakati wa sherehe za kumaliza kozi namba moja kwa maofisa hao, sherehe zimefanyika leo chuo cha polisi moshi CCP. Kozi hiyo ilihusisha warakibu wasaidizi, wakaguzi wasaidizi, sajini meja, sajenti na koplo.
(Picha na Hassan Mndeme wa Jeshi la Polisi)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment