Sunday, 11 June 2017

Naibu Waziri wa Ajira Kazi Anthony Mavunde, akimkabidhi Kombe la SportPes Super Cup, Nahodha wa Gor Mahia baada ya kuibuka washindi katika fainali ya kombe hilo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru dhidi ya AFC Leopards na kushinda mabao 3-0. Picha kwa hisani ya Montage Ltd

Wachezaji wa Gormahia ya Kenya wakishangilia bao dhidi ya AFC Leopards kwenye mchezo wa fainali ya kombe la Sportspesa Super Cup 2017 kwenye uwa ja wa Uhuru jijini Dar es Salaam


Mshambuliaji wa Gor Mahia, Muguna Kenneth, akimtoka beki wa AFC Leopards, Abdallah Salim, wakati wa mchezo wa Fainali wa mashindano ya SportPes Super Cup, uliozikutanisha timu zote za Kenya uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. (Picha kwa hisani ya Montage Ltd)


Mshambuliaji wa Gor Mahia, Muguna Kenneth (kushoto) akimtoka beki wa AFC Leopards, Ramadhan Yakubu, wakati wa mchezo wa Fainali wa mashindano ya SportPes Super Cup, uliozikutanisha timu zote za Kenya uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya Montage Ltd


Mshambuliaji wa Gor Mahia, Muguna Kenneth (kulia) akimtoka beki wa AFC Leopards, Abdallah Salim, wakati wa mchezo wa Fainali wa mashindano ya SportPes Super Cup, uliozikutanisha timu zote za Kenya uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya Montage Ltd


Mshambuliaji wa Gor Mahia, Kagere Medie, akiruka kupiga mpira wa kichwa langoni kwa AFC Leopards, wakati wa mchezo wa Fainali wa mashindano ya SportPes Super Cup, uliozikutanisha timu zote za Kenya uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya Montage LtBeki wa AFC Leopards, Abwao Marcus (kushoto) akiwania mpira na mshambuliaji wa Gor Mahia, Wafula Innocent, wakati wa mchezo wa Fainali wa mashindano ya SportPes Super Cup, uliozikutanisha timu zote za Kenya uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya Montage Ltd
Reactions:

0 comments:

Post a Comment