Wednesday, 7 June 2017

 Kampuni ya Ndege Nchini (ATCL) hivi karibuni imeongeza safari zake kati ya Dar es salaam na Dodoma kutoka mbili hadi tatu kwa wiki. Pichani, abiria wakielekea kupanda ndege ya Bombandier Q 400 ya Kampuni hiyo kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Juni 7, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Reactions:

0 comments:

Post a Comment