Sunday, 7 May 2017


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (kushoto), akizungumza na watendaji wakuu wa wizara hiyo kujadili bajeti ya wizara kabla ya kuiwasilisha kwenye kikao cha bunge la bajeti kinachoenelea mjini Dodoma. (PICHA NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI)


Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini, Thobias Andengenye (Kulia), akizungumza.Reactions:

0 comments:

Post a Comment