Tuesday, 16 May 2017

KYE1
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harisson Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam kabla ya kupokea mchango kwa ajili ya Timu ya Mpira wa Miguu ya Serengeti Boys kutoka kwa wadau wa michezo nchini. KYE2
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harriosn Mwakyembe akipokea hundi ya Shillingi Millioni 10 leo Jijini Dar es Salaam kutoka kwa Kampuni ya Multichoice Tanzania iliyowasilishwa kwa niaba yao na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dkt.Hassan Abbas.
KYE3
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harriosn Mwakyembe akipokea mchango wa Shillingi Millioni moja kwa ajili ya Serengeti Boys leo Jijini Dar es Salaam  kutoka kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania Bi. Salome Kitomari.
KYE4
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harriosn Mwakyembe akipokea mchango wa Shillingi Millioni Moja kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) iliyowasilishwa kwa niaba yao na Mkurugenzi wa Idara  ya Maendeleo ya Michezo Yusuph Singo.
Picha na Shamimu Nyaki WHUSM.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment