Saturday, 13 May 2017


Waziri Mkuu  Kassim  Majaliwa  akimsikiliza kwa makini  Mwenyekiti  wa  Bodi ya Korosho, Mama  Anna  Abdala  baada ya kufungua mkutano  mkuu  wa wadau wa Korosho  nchini kwenye ukumbi wa chuo cha Mipango Dodoma leo Mei 3, 2017. Katikati ni Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi  Dkt. Charles Tizeba.(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

 Waziri Mkuu akitoa hotuba yake ya ufunguzi
Sehemu ya wadau wa Korosho waliohudhuria mkutano huo, wakimsikiliza Waziri Mkuu Majaliwa.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment