Thursday, 18 May 2017


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,  anaeshughulikia Kilimo na Maliasili Bibi Maryam Juma Abdullah (aliyesimama) akiwakaribisha wageni kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo ya Tanzania (TADB), walipofanya ziara visiwani Zanzibar, kutazama maeneo ya kuwekeza. Benki ya Maendeleo ya Kilimo ya Tanzania (TADB) imeanza kuchangamkia fursa za uwekezaji katika sekta ya kilimo na mifugo visiwani  Zanzibar


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Francis Assenga (aliyesimama) akieleza dhima ya Benki ya Kilimo katikakusaidia juhudi za Serikali katika kuinua ukuaji wa uchumi na kupunguza umaskini Tanzania.

Mkurugenzi wa Mikopo na Biashara wa TADB, Bw. Augustino Chacha (kushoto) akizungumzia fursa za mikopo inayotolewa na Benki hiyo
 Mkurugenzi wa Mipango wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Zanzibar, Sera na Utafiti, Bw. Sheha Idrissa Hamdan (aliyesimama)  akizungumza


Meneja wa Mikopo wa TADB, Bw. Samuel Mshote (kulia) akizungumza
Reactions:

0 comments:

Post a Comment