Tuesday, 2 May 2017


Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi Irene Isaka (wa pili kulia), na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji Bi Sara Kibonde Msika (wa kwanza kushoto)wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa SSRA katika banda la Mamlaka hiyo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambayo Kitaifa yalifanyika katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi  mkoani Kilimanjaro


Wafanyakazi wa SSRA wakipita mbele ya Mgeni Rasmi katika uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), zilizofanyika Kitaifa Mkoani Kilimanjaro.Wananchi wakiwa katika banda la SSRA wakati wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yalizofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Chuo cha Ushirika Mkoani Kilimanjaro.


Baadhi ya Wafanyakazi waSSRA wakiwa kwenye banda la SSRA wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) Mkoani Kilimanjaro

Baadhi ya Wafanyakazi waSSRA wakiwa kwenye banda la SSRA wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) Mkoani Kilimanjaro


Wafanyakazi wa SSRA wakimsikiliza kwa makini mmoja wa wananchi waliotembelea banda lao wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yalizofanyika Kitaifa Mkoani Kilimanjaro.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment