Tuesday, 16 May 2017


Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akisalimiana na vijana wanaoishi katika kijiji cha Watoto kinachosimamiwa na Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu (SOS Children Villages) ambapo aliwataka kutumia fursa waliyoipata na kuendeleza shughuli za ujasiriamali,Jana Mkoani Arusha.


Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga(wa pili kushoto) akiwasikiliza vijana katika kijiji kijiji cha Watoto kinachosimamiwa na Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu (SOS Children Villages) wakiwasilisha mada juu ya shughuli wanazozifanya.


Mkurugenzi wa kijiji cha Watoto kinachosimamiwa na Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu (SOS Children Villages) Bw. Francis Msollo akiongea na vijana wakati Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga alipowatembelea kijijini hapo.


Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akitembelea maeneo mbalimbali katika kijiji cha Watoto kinachosimamiwa na Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu (SOS Children Villages) na kujionea shughuli zinazofanywa na vijana katika kijiji hicho.


Reactions:

0 comments:

Post a Comment