Thursday, 18 May 2017TIMU ya Tanzania ya vijana wenye umri chini ya miaka 17, Serengeti Boys, imefanikiwa kuinyuka Angola mabao 2-1 katika mchezo wake wa pili wa michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri wa miaka 17 uliopigwa jioni hii Mei 18, 2017 nchini Gabon.
Kwa matokeo hayo, Serengeti Boys sasa wamejikusanyia pointi 4 na mabao 2 ya kufunga na kufunga bao moja wakiwa wanaongoza kwenye kundi B, lenye Mabjnwga watetezi wa kombe hilo, Mali, Niger na Angola.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment