Friday, 12 May 2017Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake, Rais wa Afrika Kusini, Mhe. Jacob Zuma, wakifurahia burudani ktoka bedi ya The Kilimanjaro “Wana Njenje, wakati wa dhifa ya Kitaifa Ikulu jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Mei 12, 2017. (PICHA NA IKULU)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, Mama Janeth Magufuli (Mke wa Rais), Mama Sizakele Zuma wakwanza kulia (Mke wa Rais wa Afrika Kusini) wakati nyimbo ya Taifa ikipigwa katika Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa hotuba katika dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia Rais wa Afrika Kusini, Mhe. Jacob Zuma Ikulu jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Mei 12, 2017.


Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akitoa hotuba yake katika dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma na mwenyeji wake Rais Magugfuli, wakiungana na Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed Salim na Rais mstaafu Benjamin Mkapa, wakati wa dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Magufuli, maalum kwa mgeni wake Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake, Rais wa Afrika Kusini, Mhe. Jacob Zuma, wakifurahia burudani ktoka bedi ya The Kilimanjaro “Wana Njenje, wakati wa dhifa ya Kitaifa Ikulu jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Mei 12, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akigongesha girasi na mgeni wake Jacob Zuma Rais wa afrika kusini Ikulu jijini wakati wa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia mgeni wake Dar es salaam Mei 11,2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia mgeni wake Jacob Zuma Rais wa Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es salaam Mei 11,2017 
Wakati wa nyimbo za mataifa yote  mawili
Rais wa Afrika Kusini akihutubia katika dhifa ya kitaifa aliyoandalia na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa ajili yake Ikulu jijini dar es salaam Mei 11,2017 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mhe. Jacob Zuma Rais wa Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es salaam mara baada ya dhifa ya kitaifa aliyoandalia na Rais Dkt. John Pombe Magufuli


 

Reactions:

0 comments:

Post a Comment