Tuesday, 9 May 2017

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwkabidhi  Wabunge Mhe Ali Mohamed Kessy (Nkasi Kaskazini)  Mhe. Munde tambwe (viti maalumu – Mkoa wa Tabora) na Mhe Lucy Mayenga (viti maalumu-mkoa wa Shinyanga) magari ya kubebea wagonjwa waliyopewa saada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Mei 9, 2017
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi kipena mikono na Mbunge wa Nkasi Mhe Ali Mohamed Kessy baada ya kumkabidhi gari la kubebea wagonjwa alilopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Mei 9, 2017
 Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, akipeana mikono na Mbunge wa Viti Maalumu kutoka mkoa wa  Shinyanga Mhe. Lucy Mayenga baada ya kumkabidhi gari na funguo zake
Mbunge wa Viti Maalumu shinyanga Mhe. Lucy Mayenga akionyesha kwa furaha funguo za gari la kubebea wagonjwa alilopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukabidhiwa gari hilo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi Mei 9, 2017
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tabora Mhe. Munde  akionyesha kwa furaha funguo za gari la kubebea wagonjwa alilopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukabidhiwa gari hilo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi Mei 9, 2017
Wabunge hao wakiwa wamesimama kila mtu kwa gari la kubebea wagonjwa walilopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam mara baada ya kukabidhiwa magari hayo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi Mei 9, 2017MAGA
Reactions:

0 comments:

Post a Comment