Tuesday, 2 May 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru viongozi mbalimbali wa Serikali, kidini, taasisi mbalimbali na wananchi waliomsindikiza uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, (KIA), mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi ya siku tatu mkoani hum oleo Mei 2, 2017.Rais amerejea jijini Dar esSalaam.
 Rais akipunga mkono wa kwaheri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick wakati akielekea kupanda ndege


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi ya siku tatu mkoani hum oleo Mei 2, 2017.(PICHA NA IKULU)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment