Friday, 26 May 2017

Mkataba wa mradi wa Bomba la Mafuta kati ya Serikali ya Tanzania na Uganda (Intergovernmental Agreement- IGA) umesainiwa leo tarehe 26 Mei 2017 katika Hotel ya Serena Jijini Kampala, Uganda. Tanzania imewakilishwa na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Paramagamba Kabudi na Uganda ni Waziri wa Nishati wa nchi hiyo Engineer  Irene Nafuna Muloni.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment