Monday, 8 May 2017Mmoja wa wazazi waliofiwa  akilia kwa uchungu huku akisaidiwa na jamaa wakati wa ibada ya kuaga miili ya marehemu hao kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Mei 8, 2017.

 umati wa watu ukiwa unalia kwa uchungu

 Mbunge wa viti maalumu, Mhe. Amina Mollel akiwa analia kwa uchungu mara baada ya kuaga miili ya marehemu hao
 Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi  Ndg:Jokate  Mwengeloakiwa anatoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yaliobeba miiili ya wanafunzi hao
  Waandishi wa habari nao walilazimika kuacha shughuli zao na kuungana na watanzania wengine kuaga miili ya maehemunhao

Baadhi ya majeneza yenye miili ya marehemu hao yakiwa yamepangwa tayari kwa ibada ya kutoa heshima za mwisho

Umati wawatu uliouthuria katika zoezi la kuaga marehemu hao
 
Reactions:

0 comments:

Post a Comment