Wednesday, 3 May 2017

 Naibu Spika wa Buneg, Dkt. Tu;lia Ackson, (kulia), akimkaribisha ofisini kwake mjini Dodoma leo Mei 3, 2017
Mkurugenzi Mkazi wa JHPIEGO nchini Tanzania Ndg. Jeremie
Zoungana(kushoto) na
Mkurugenzi wa Mradi wa USAID wa Boresha Afya, Ndg. Dustan Bishanga ofisini kwake mjini Dodoma Mei 3, 2017


Naibu Spika  wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia)
akizungumza na Mkurugenzi wa Mradi wa USAID wa Boresha Afya, Ndg. Dustan Bishanga (wa pili kushoto) na
Mkurugenzi Mkazi wa JHPIEGO nchini Tanzania Ndg. Jeremie
Zoungana wakati alipokutana na viongozi hao wawili ofisini kwake mjini Dodoma, Wakwanza kushoto ni Mkuu a kitengo cha Mawasiliano  ungei, Bw. Owen Mwandumbya. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Reactions:

0 comments:

Post a Comment