Friday, 12 May 2017

Bw. Ibrahim Mkwawa


NA MWANDISHI WETU
WAZIRI wa Habari, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe, amemteua Mwanasheria wa serikali, Bw. Ibrahim Mkwawa kuwa Msajili wa vyama v ya Michezo nchini.
Waziri Mwakyembe alidokeza kuhusu uteuzi huo wakati akizungumza na wajumbe wa Baraza la Micehzo la Taifa, (BMT), kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo Mei12, 2017.
Aidha jukumu kubwa lililo mbele ya Msajili huyo mpya wa Michezo nchini ni pamoja na kuchunguza tuhuma za wizi, ubadhirifu, uonevu na ukiukwaji wa taratibu na sheria katika baadhi ya vyama vya michezo na kuchukua hatua stahiki, Dkt. Mwakyembe alisema.
Awali Ofisi ya Msajili kutoka Wizarani kwenda BMT kwa mujibu wa sheria na kuhakikisha BMT inapata malipo yake yote ya kisheriaReactions:

0 comments:

Post a Comment