Wednesday, 10 May 2017


Aliekuwa Mkuu wa wilaya ya Lindi, Yahaya Nawanda, (katikati), akikata utepe kuzindua mradi wa”Hakuna wasichoweza” unaowapatia elimu ya hedhi na vifaa vya kujistiri wasichana ili wasikose kuhudhuria masomo yao mashuleni, Mradi huo unadhaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation na kuendeshwa na T-Marc Tanzania mkoani humo,Wengine katika picha kutoka kushoto ni Aisha Mahadni mwanafunzi wa shule ya msingi stadium,Renatus Rwehikiza aliekuwa mkuu wa Vodacom Tanzania Foundation,Mkurugenzi wa T-Marc Tanzania,Diana Kisaka na Lalat Saidi.


Reactions:

0 comments:

Post a Comment