Monday, 22 May 2017

 Mbunge wa Jimbo la Lushoto Mkoani
Tanga (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akitazama namna
mbogamboga za wakulima kwenye Jimbo lake zilivyoharibika hivi karibuni
kutokana na miundombinu ya barabara ya Mombo hadi Lushoto kudondokewa na
vifusi na mawe kabla ya kuondolewa na wakala wa barabara mkoani Tanga
(Tana Road ) ambapo aliwapa pole wakulima na kuwataka kuongeza
uzalishaji
 Mbunge wa Jimbo la
Lushoto Mkoani Tanga (CCM) Shabani Shekilindi
alimaarufu Bosnia katika  akizungumza na wakulima wa mbogamboga kwenye
Jimbo lake  hivi karibuni ambao bidhaa zao ziliharibika kutokana
na miundombinu ya
barabara ya Mombo hadi Lushoto kudondokewa na vifusi na mawe kabla ya
kuondolewa na wakala wa barabara mkoani Tanga (Tana Road ) ambapo
aliwapa pole wakulima na kuwataka kuongeza uzalishaji

 Kushoto ni mmoja wafanyabiashara
wakimuelezea Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi
alimaarufu Bosnia hasara walizozipata kutokana na ubovu wa miundombinu

 Baadhi ya bidhaa za
mbogamboga ambazo zimeharibika kama zinavyoonekana

 Mbunge wa Jimbo la Lushoto(CCM)
Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akiwa na mfanyabiashara mara
baada ya kuangalia namna alivyopata hasara kutokana na ubovu wa
miundombinu ambapo pia alitumia nafasi hiyo kuwapa pole
Mbunge wa Jimbo la Lushoto(CCM)
Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia katika akiwa na wananchji wa Jimbo
hilo wakati alipowatembelea hivi karibuni kuona athari za mafuriko
kushoto ni Katibu wa CCM wilaya ya Lushoto Ramadhani
Mahanyu
Habari kwa Hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha
Reactions:

0 comments:

Post a Comment