Friday, 26 May 2017


unnamed
Mbunge wa Bunda Mjini (CHADEMA) Ester Bulaya akiuliza swali katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.

unnamed
Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charels Mwijage akiongozana na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Prof. Jumanne Maghembe katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma kuhudhulia kipindi cha Asubuhi cha kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 26,2017.
HAWA
Mbunge wa Mtwara Vijini (CCM) Mhe. Hawa Ghasia wakijadiliana jambo na Mbunge wa Momba (CHADEMA) Mhe. David Silinde katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma wakati wakiingia katika ukumbi wa Bunge kuhudhulia kipindi cha Asubuhi cha kikao cha 35 Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 26, 2017.
MWE
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Najma Giga akiongoza kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
KAWE
 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017. 
  MAJ
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge kazi Ajira Vijana na watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
  JAFO 
 Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.  LUB
Mbunge wa Mpwapwa (CCM) George Lubeleje akiuliza swali katika kikao cha 35 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017. 
EDW
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani akijadiliana jambo na Naibu waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Susan Kolimba katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017. 
unnamed
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt Medred Kalemani katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.   
MWAI
 Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
NASI
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wakifurahia jambo na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017. 
SAKAYA
Mbunge wa Kaliua (CUF) Mhe. Magdalena Sakaya akiuliza swali katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.   
NCHEMB
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
MJAD
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
WAMBU
 Naibu waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anstazia Wambura(kulia) pamoja na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe(katikati) wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt Medred Kalemani wakati wakijadiliana jambo katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.  
HAULE
Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA) Mhe. Joseph Haule (Kulia) pamoja na Mbunge wa Mikumi Mhe. Joseph Haule (wa pili kulia) na Mbunge wa Tunduma (CHADEMA) Mhe. Frank Mwakajoka (aliyeipa kisogo kamera) wakimsikiliza Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charels Mwijage wakati wakijadiliana jambo katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017
MAJA
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Ritha Kabati katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
WAF
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Compassion English Medium kutoka mkoani Njombe wakiwa Bungeni wakifuatilia shughuli za Bunge katika dhumuni la kujifunza mambo mbalimbali yahusuyo Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. (Picha Zote na Raymond Mushumbusi Dodoma MAELEZO
BN1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Wafanyabiashara wa Pikipiki na Vipuri  vyake pamoja na baadhi ya wabunge, ofisini kwake, Bungeni mjini Dodoma Mei
BN2 BN3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Wabunge wa Viti Maalum, Amina Makiragi na Anna Lupembe kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Mei 26, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
BN4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mbulu  Vijijini, Fratei Massay kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 26, 2017. Wapili kulia ni Mbunge wa Iramba Mashariki, Allan Kiula. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
BN5
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanachuo wa Chuo Kikuu cha Makumira kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 26, 2017. Kushoto ni  Mbunge wa Newala Mjini, Capt. George Mkuchika. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment