Wednesday, 3 May 2017


Mkuu wa mkoa wa Manyara Dkt, Joel Bendera, (katikati), akifuatilia
jambo wakati alipokuwa anazindua rasmi maonyesho ya sita ya vito na madini yanayofanyika katika hotel ya Mounti Meru jijini Arusha leo Mei 3, 2017. (HABARI PICHA NA WOINDE
SHIZZA,ARUSHA)

Mstahiki Meya wa jiji la Arusha, Kalisti Lazaro Bukhay(kulia), alikuwa miongoni mwa waliohudhuria maonesho hayo

Reactions:

0 comments:

Post a Comment