Thursday, 25 May 2017


 Spika Mstaafu, Anne Makinda. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
  Spika  Mstaafu, Anne Makinda (kulia) akiingia Ukumbini na kushoto ni Rais na mwanzilishi wa Chingu Kota
 Spika  Mstaafu, Anne Makinda (wa pili kulia) akizungumza wakati wa Mkutano wa kujadili utamaduni wa Korea Kusini na nchi zingine za Asia uliowahusisha wanafunzi wa vyuo vikuu Jijini Dar ea Salaam mei 25, 2017. Wapili kushoto ni Profesa, Geofrey Calimag kutoka Korea, kulia ni Rais na  Mwanzilishi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Chingu  Kota, Andrew  Bukuku na kushoto ni Mweka hazina wa Taasisi hiyo, Pamela Bukuku 


  Rais na  Mwanzilishi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Chingu  Kota, Andrew  Bukuku katika picha ya pamoja na wageni wake wa ndani na kutoka Korea Kusini na ChinaReactions:

0 comments:

Post a Comment