Friday, 12 May 2017


Baadhi ya nyumba kisiwani Unguja zikiwa zimezingirwa na maji kutokana na mvua za mfululizxo zinazoendelea kunyesha karibu nchi nzima
Wananchi wakiwa upande wa pili wa barabara ya kwenda Mwanakwerekwe kisiwani Unguja Mei 11, 2017 wakiangalia jinsi mvua za masika zinavyonyesha na kujaa katika bwawa la mwanakwerekwe na maji hayo kuzuia kupitika kwa barabara hiyo kutokana mafuriko.
Hii ndio barabara ya mwanakwerekwe ikiwa imefunikwa na maji ya mvua ilinyesha siku ya jumanne kutwa na kusababisha kuzuiya kutumika kwa barabara hii kutokana na kufurika maji katika barabara hiyo na maji ya magugu maji kutanda katika barabara hiyo kama inavyoonekana pichani.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment