Sunday, 7 May 2017


Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mhe. Edward Lowassa, (kushoto), akisalimiana na Mbunge wa Tarime Vijijini (CHADEMA), Mhe. John Heche, anayepatiwa matibabu kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam  leo Mei 7, 2017. Mhe.Heche ambaye alikuwa mjini Dodoma akihudhuria vikao vya bunge, aliugua ghafla mjini humo wiki iliyopita na kusafirishwa kuja MNH kwa matibabu zaidi.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment