Tuesday, 30 May 2017


PIX 15 George Masaju
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.George Masaju akifafanua jambo katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira,Kazi,VijananaWatu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama na Kulia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk.Medard Kalemani.

NAJMA
Mwenyekitiwa Bunge la JamhuriyaMuunganowa Tanzania Mhe. Najma Giga akiongoza kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
ISAC
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
PIX 3 Mhe Waziri Mkuu na Sakaya
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mbunge wa Kaliua(CUF) Mhe.Magdalena Sakaya katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
PIX 4 Ndalichako
Waziri wa Elimu,Sayansi  na Teknolojia Mhe,Prof.Joyce Ndalichakoakijibumaswalimbalimbaliyawabungekatikakikao cha 37 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Mei 30, 2017.
PIX 5 Mhe.Kairuki
WaziriwaNchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angella Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
PIX 6 kigwangala
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
PIX 7 Mhe.Kolimba
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dk. Susan Kolimba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
PIX 8 Mhe.Mwijage
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
PIX 9 Mhe.Mpango
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Philip Mpango akisoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.  
PIX 10 Mhe.Faida
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Faida Bakari akiuliza swali katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
PIX 11 Mhe.Amina Mollel
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Amina Mollel akiuliza swali katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
PIX 12 Mwakyembe na Wambura
Waziri wa Habari,Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akizungumza jambo na Naibu wake Mhe.Anastazia Wambura katika kikao cha 37 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
PIX 14 Mhe Mhagama na Msigwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira,Kazi,Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akijadili jambo na Mbunge wa Iringa Mjini (CHADEMA) Mhe.Peter Msigwa katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017. 
PIX 15 George Masaju
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.George Masaju akifafanua jambo katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira,Kazi,VijananaWatu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama na Kulia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk.Medard Kalemani.
(PichazotenaDaudiManongi,MAELEZO)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment