Monday, 29 May 2017


Muonekano wa Mnara wa Askari uliopo kati ya barabara  ya Azikiwe na Samora mara baada ya kuzinduliwa mapema hii leo Mei 29,2017 na Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017, Amour Hamad Amour.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017,Amour Hamad Amour (katikati) akipata maelekezo toka kwa msimamizi wa bustanai ya mnara wa Askari uliopo kati ya barabara  ya Azikiwe na Samora mara baada ya kuizindua bustani hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam. Wakwanza kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia MjemaReactions:

0 comments:

Post a Comment