Monday, 1 May 2017

Mkuu wa mkoa wa kilimanjaro sadiq meck sadiq akimpokea Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi kuhudhuria kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi Sherehje zilizofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro

 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema, wapo wafanyakazi wa umma ambao wambao wameandikisha umri usio sahihi na hivyo kufanya wachelewe kustaafu. "Wapo ambao wamezeeka lakini bado tu wanafanya kazi, sasa dawa yao iko jikoni," alionya Dkt. Magufuli. Rais Magufuli ameyasema hayo leo wakati akihutubia katika kilele cha sherehe za Mei Mosi kwenye uwanja wa chuo kikuu cha Ushirika mjini Moshi, ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema, "Uchumi wa Viwanda uzingatie Haki, Maslahi na Heshima ya Wafanyakazi.". Katika sherehe hizo, Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, pia walihudhuria.
Picha juu Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia wimbo uliokuwa ukiimbwa na msanii Mrisho Mpoto katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi kuhudhuria kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi Sherehje zilizofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea mandamano ya wafanyakazi katika kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi iliyofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi Mei 1,2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshikana mikono wakati wa wimbo wa Mshikamano daima pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu sera Bunge, Kazi, Vijana na wenye ulemavu, Jenista Mhagama,Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais na Utawala bora Angela Kairuki, Rais wa Shirikisho la Vyama vya vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Tumaini Nyamhokya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Saidik.

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wafanyakazi na wananchi wa Mji wa Moshi katika kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi iliyofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi Mei 1,2017 
Umati wa wananchi na wafanyakazi wa mji  wa Moshi wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi iliyofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi Mei 1,2017 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wakazi wawili wenye ulemavu mara baada ya kumaliza kuhutubia katika kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru na kuwaaga Wafanyakazi mbalimbali wakati akiondoka katika uwanja wa Ushirika mjini Moshi mara baada ya kuhutubia katika kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi DunianiMkuu wa mkoa wa kilimanjaro sadiq meck sadiq akimpokea Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi kuhudhuria kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi Sherehje zilizofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro

Picha juu Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia wimbo uliokuwa ukiimbwa na msanii Mrisho Mpoto katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi kuhudhuria kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi Sherehje zilizofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea mandamano ya wafanyakazi katika kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi iliyofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi Mei 1,2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshikana mikono wakati wa wimbo wa Mshikamano daima pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu sera Bunge, Kazi, Vijana na wenye ulemavu, Jenista Mhagama,Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais na Utawala bora Angela Kairuki, Rais wa Shirikisho la Vyama vya vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Tumaini Nyamhokya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Saidik.

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wafanyakazi na wananchi wa Mji wa Moshi katika kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi iliyofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi Mei 1,2017 
Umati wa wananchi na wafanyakazi wa mji  wa Moshi wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi iliyofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi Mei 1,2017 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wakazi wawili wenye ulemavu mara baada ya kumaliza kuhutubia katika kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru na kuwaaga Wafanyakazi mbalimbali wakati akiondoka katika uwanja wa Ushirika mjini Moshi mara baada ya kuhutubia katika kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani

Reactions:

0 comments:

Post a Comment