Tuesday, 30 May 2017


Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi akikabidhi baadhi ya zawadi kwa uongozi wa wazee waishio katika kituo cha kulea wazee cha Kibirizi Mkoani  Kigoma alipotembelea kituoni hapo mapema wiki hii , kulia ni Mwenyekiti Bw. Said Lekegwa na kushoto ni Katibu Bibi. Veronika Ramadhani


Mkurugenzi wa Manunuzi kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara ya Ustawi wa Jamii) Bibi Martha Chuma pamoja na Afisa Mwandamizi Ustawi wa Jamii  Kigendi Maige wakimsikiliza Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi (hayupo pichani) wakati akitoa maelekezo mabalimbai kwa uongozi wa kituo cha kulea wazee cha Kibirizi Mkoani Kigoma alipotembeleaa kituoni hapo mapema wiki hii.Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi akisalimiana na Katibu wa Wazee waishio katika kituo cha Kibirizi Mkoani Kigoma Bibi. Veronika Ramadhani alipotembelea kituoni hapo mapema wiki hii.


Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi( wa tatu kulia) akizungumza na uongozi wa Wazee waishio katika kituo cha kulea wazee cha Kibirizi Mkoani Kigoma watendaji kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto na uongozi wa kituo hicho alipowatembelea mapema wiki hii.
(PICHA ZOTE NA RAYMOND MUSHUMBUSI MAELEZO KIGOMA)

Reactions:

0 comments:

Post a Comment