Thursday, 18 May 2017


Mwenyekiti wa Kamati ya Pamoja ya Kitaifa ya Dini Zanzibar Sheikh Salim Mohammed akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kuhusiana na uvunjaji wa mmomonyoko wa maadili Zanzibar, mkutano huo umewahusisha viongozi wa dini Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Mazson Shangani Zanzibar.(PICHA NA MSONGOZI KONDO)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment