Monday, 8 May 2017

MAELFU ya wananchi wakiingia kwenye uwanja wa kumbukumbu ya sheikh Amri Abeid, leo Mei 8, 2017 wakati wa ibada ya kuaga wanafunzi 33, walimu wawili na dereva wa basi la shule ya msingi Lucky Vincent ya jijini Arusha.


Reactions:

0 comments:

Post a Comment