Wednesday, 10 May 2017

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakiangalia Chumvi ya aina tofauti ikiwemo ya matumizi ya kawaida na ya Kuogea wakati walipotembelea katika eneo linalotoa Chumvi kwa wingi  Nchini Djibouti Lake Assal Port  Mei 9, 2017 akiwa na ujumbe wake akimalizia  ziara ya kiserikali  Nchini Djibouti kwa mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Ismail Omar Guelleh.
(PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(wa pili kulia) alipokuwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tadjoura Magharibi ya Nchi ya Djibouti Mhe,Abdulmalik Mohammed (katikati) Mei 9, 2017 ambako alifika katika eneo linalotoa Chumvi kwa wingi na inayotarajiwa kusafirishwa katika nchi mbali mbali Duniani,Rais alifika katika sehemu hiyo jana akimalizia ziara yake ya siku tatu  Nchini Djibouti kwa mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Ismail Omar Guelleh.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakiangalia Chumvi ya aina tofauti ikiwemo ya matumizi ya kawaida na yakukogea wakati walipotembelea katika eneo linalotoa Chumvi kwa wingi  Nchini Djibouti Lake Assal Port  akiwa na ujumbe wake akimalizia  ziara ya kiserikali jana  Nchini Djibouti kwa mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Ismail Omar Guelleh

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) wakipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Tadjoura Magharibi ya Nchi ya Djibouti Mhe,Abdulmalik Mohammed (katikati) ambako alifika katika eneo linalotoa Chumvi kwa wingi  Nchini Djibouti ambapo alitembelea akiwa na ujumbe wake akimalizia  ziara ya kiserikali jana  Nchini Djibouti kwa mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Ismail Omar Guelleh
Reactions:

0 comments:

Post a Comment