Wednesday, 10 May 2017


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (wa pili kushoto), akisalimiana na viongozi mbali mbali na Wazee wa Chama cha Mapinduzi  katika mapokezi yaliyofanyika leo Mei 10, 2017 alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Unguja akitokea Nchini Djibouti katika ziara ya kiserikali kufuatia mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Ismail Omar Guelleh

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) alipokuwa akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Viongozi mbali mbali  wakati wa mapokezi yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Nchini Djibouti katika ziara ya mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali na Wazee
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali katika ukumbi wa VIP katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo akitokea Nchini Djibouti katika ziara ya mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh,(kulia) Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Balozi Ali Abeid Karume

Reactions:

0 comments:

Post a Comment