Monday, 15 May 2017


Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba Mhe,Hemed Suleiman alitembelea Kijiji cha Makombeni Wilaya hiyo kuangalia  nyumba mbali mbali za Wananchi zilizopatwa na athari  zilizotokana na Mvua zinazoendelea kunyesha kisiwani humo Mei 15, 2017 wakati alipofanya ziara maalum ya kikazi.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipofika kijiji cha Gando kumfariji na kumpa pole Mzee Juma Mjaka Khamis (kulia) akiwa na Familia yake aliyepata maafa ya nyumba yake kuangukiwa na mti na kupelekea kukosa sehemu ya kuishi baada ya mvua kubwa za masika zilizonyesha hivi karibuni kisiwani humo


Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) alipokuwa akiangalia jengo la ZSTC Mkoani Pemba ambalo ukuta wake umeanguka kutokana na kuangukiwa na mti baada ya mvua kubwa za masika zilizonyesha hivi karibuni na kusababisha uharibifu mkubwa alipofanya ziara maalum kisiwani humo Mei 15, 2017. (PICHA NA IKULU ZANZIBAR)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment