Tuesday, 16 May 2017


Mhe.Prof Makame Mbarawa Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano akishuhudia Utiaji saini mkataba wa kuuza China bidhaa za muhogo kutoka Tanzania Mkataba huo umesaini leo mjini Beijing Jamhuri ya watu wa  China kati ya Balozi wa Tanzania nchini China  Mhe.Balozi Mbelwa Kairuki kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Li Yuanping Naibu mkurugenzi mkuu wa taasisi ya udhibiti na ukaguzi wa mazao  kwa niaba ya Serikali ya jamhuri ya China Mhe.Mbarawa yupo mjini Beijing ambapo aliwakilisha serikali ya Tanzania kwenye mkutano wa One belt one Roads Forum.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment