Tuesday, 2 May 2017BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limewasamehe wabunge watatu wa upinzani akiwemo kiongozi wa upinzani bungeni, Mhe. Freeman Mbowe, Mbunge wa Kawe, Mhe. Halima Mdee na Mbunge wa Bunda, Mhe. Esther Bulaya kutokana na utovu wa ndhamu dhidi ya bunge.
Awali kamati ya bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, ilipendekeza Mhe. Halima Mdee asimamishwe kushiriki kikao cha bunge la bajeti.
Hata hivyo wabunge wengi walipendekeza adhabu hiyo ibadilishwe na hivyo kutoa msamaha kwa wabunge wote watatu.
Bunge limewataka wabunge hao kutorudia vitendo vyao.
Pichani Spika Ndugai 

akisoma uamuzi huo wa bunge kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.


Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Haki,Maadili na madaraka ya Bunge  Mhe.Almas Maige akisoma hoja za kamati hiyo kuhusu Shauri la kudharau Mamlaka ya Spika linalowahusu Mhe.Freeman Mbowe,Mhe Halima Mdee  na Mhe.Esther Bulaya na Shauri la kuingilia Uhuru  na Haki za Bunge linalowahusu Mkuu wa Moa wa Dar ves Salaam, Mhe.Paul Makonda na Mkuu wa wilaya ya Arumeru, Mhe.Alexander Mnyeti katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Kiongozi wa upiznani bungeni na Mbunge wa Hai, Mhe. Freeman Mbowe.(Picha na Maktaba)

 Mbunge wa Kawe, Mhe. Halima Mdee.(Picha ya Maktaba)
Mbunge wa Bunda, Mhe. Esther Bulaya.(Picha ya Maktaba)

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamadi Masauni akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.


Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na Watoto Mhe.Dkt Khamis Kigwangala akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.


Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA) Mhe.Upendo Peneza akiuliza swali katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.


Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CCM) Mhe.Peter Serukamba akizungumza jambo na Mbunge wa Nzega Mjini Mhe.Hussein Bashe katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.


Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na maendeleo ya Makazi Mhe.Angelina Mabula akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.Waziri  wa Nishati na Madini Mhe.Prof.Sospeter Muhongo  akitolea ufafanuzi  hatua  zilizochukuliwa na Serikali juu ya Tetemeko la ardhi lilitokea Mkoani Kagera ivi Karibuni katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe. Salma Kikwete na Mbunge wa Mtwara Vijijini (CCM) Mhe. Hawa Ghasia  wakijadili jambo  katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.

Waziri wa Sera,Bunge,Kazi ,Vijana ,Ajira na wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama  akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Selemani  Jafo  katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.Naibu Waziri  wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt,Ashatu Kijaji  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment