Wednesday, 10 May 2017


Askofu wa Kanisa la Good News For All Ministry Dkt. Charles Gadi akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa salamu za rambirambi kwa familia za wafiwa wa wanafunzi 32, walimu wawili na dereva wa Shule ya Lucky Vincent ya Jijini Arusha pamoja na kumpongeza Rais john Magufuli kwa kuzindua miradi mikubwa ya kimaendeleo hivi karibuni, kushoto ni Mchungaji wa kanisa hilo Mchungaji Andrew Thomas na kulia ni Mchungaji Palemo Massawe.Askofu wa Kanisa la Good News For All Ministry Dkt. Charles Gadi (mwenye miwani)akifanya maombi maalum  pamoja na Wachungaji wa kanisa hilo ya kuomba mvua zinazoendelea nchini zisiwe na madhara kwa jamii.(PICHA NA ELIPHACE MARWA –MAELEZO)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment