Friday, 21 April 2017


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja  na uongozi wa Chama cha Ngoma za na Muziki wa Asili Tanzania (CHANGAMATA) wakati alipokutana nao Ofisini kwake Mjini Dodoma kujadili masuala mbalimbali ya Sanaa za Ngona na Muziki Asili Tanzania Leo April 21, 2017.(PICHA NA RAYMOND MUSHUMBUSI WHUSM DODOMA).Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe akipokea zaswadi ya Ngoma kutoka kwa Chama cha Ngoma za na Muziki wa Asili Tanzania (CHANGAMATA) wakati alipokutana nao Ofisini kwake Mjini Dodoma kujadili masuala mbalimbali ya Sanaa za Ngona na Muziki Asili Tanzania Leo April 21, 2017.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment