Saturday, 15 April 2017

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions ,Alex Msama,Muimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya,Mercy Masika na Mdau wa nyimbo za injili wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzungumza na wana habari,  jijini Dar.
 Mwimbaji mahiri wa nyimbo za injili kutoka nchini Kenya, Mercy Masika akiimba moja ya wimbo wake ulioitwa "Mkono wa Bwana", mbele ya waandishi wa habari, jijini Dar, Mercy ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la pasaka litakalofanyika April 16,2017 ndani ya Uwanja wa uhuru,ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa mambo ya Ndani Mh.Mwigulu Nchemba.Pichani shoto ni Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotions,Alex Msama,ambayo ndio waandaaji wa tamasha hilo.
 Mwimbaji mahiri wa nyimbo za injili kutoka nchini Kenya,Mercy Masika akielezea namna alivyojiandaa kuwakonga mashabiki wake leo kwenye tamasha la Pasaka
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama na Mwimbaji huyo juu ya tamasha la leo


Reactions:

0 comments:

Post a Comment